Waendesha mada katika semina ya kuangalia changamoto
katika soko la muziki Afrika Mashariki na njia za kuzitatua wakijadili umuhimu
wa elimu ya muziki katika soko la muziki, kutoka kulia ni Katibu Mtendaji wa
Action Music Tanzania, Mandoli Kahindi, Mkurugenzi wa sanaa kutoka Global Music
Academy Ujerumani,William Ramsay, Muaandaaji wa muziki wa Uganda, Kazi Kasozi na
Mkurugenzi Mtendaji wa Ketebul Music Kenya, Tabu Osusa
Semina hiyo ambayo inaambatana na maonyesho ya kazi
mbalimbali za muziki yameandaliwa na Bayimba Cultural Foundation ya Uganda
ambapo wadau mbalimbali wa muziki kutoka nchi mbalimbali wamejumuika kujadili na
kubadilishana uzeofu juu ya soko la muziki kwa nchi za Afrika Mashariki. picha
za matukio zaidi tembelea DOADOA
Post a Comment