Kaimu
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Lily Munanka alipokuwa na
muwakilishi wake ambae ni mwana Mitindo wa (Kwetu Fashion Design) Missy
Temeke, akipeperusha bendera ya Tanzania kwenye Tamasha la Africa Day
2013-Golden Jubilee Gala Dinner Siku ya Alhamis Mei 24,2013 ndani ya
Ukumbi wa Hilton Hotel Jijini Washington Dc. (Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
Kaimu
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Lily Munanka mbaye
amewakilisha Nchini ya Tanzania katika Tamasha la Africa Day 2013 kama
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, kabla balozi mtarajiwa
kuwasili nchini hapa.
Kaimu
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe.Lily Munanka , na
mwakilishi wake waliingia kwenye ukumbi kufuatana na alfabeti za Nchi
wanazowakilisha. Tanzania ilitajwa namba 20, Lily Munanka akisindikizwa
na Mwana Mitindo mbunifu wa (Kwetu Fashion Design) Missy Temeke
Kaimu
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Lily Munanka walipokua
wakingia ndani ya ukumbi wa Tamasha la Africa Day 2013-Golden Jubilee
Gala Dinner Siku ya Alhamis Mei 24,2013 ndani ya Ukumbi wa Hilton Hotel
uliopo Connecticut Ave, Jijini Washington Dc
Kaimu
Balozi wa Tanzania Mama Lily Munanka na Mshika Bendera ya Tanzania
Missy Temeke wakifuaatana katika sehemu ya mapokezi ili kuwakilisha
rasmi Nchi ya Tanzania katika tamasha la Siku ya Afrika 2013 (Golden
Jubilee Gala Dinner) Siku ya Alhamis Mei 24,2013 ndani ya Ukumbi wa
Hilton Hotel uliopo Connecticut Ave, Jijini Washington Dc
Kama
taratibu za sherehe hizo zilivyoandaliwa, mabalozi wote 50 waliingia
ukumbini wakiwa wamependeza kabisa na baadhi yao waliofalia Mavazi ya
kiAfrika huku wakiwa wameshikilia bendera zakuwakilisha nchi zao
kitaifa, Miongoni mwa warembo alikuwepo Mwana Mitindo wa (Kwetu Fashion
Design) Missy Temeke
Kaimu
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe.Lily Munanka, akiwa
na baadhi ya maafisa wa ubalozi wamesimama kwa heshima ya wimbo wa taifa
Edward
Taji kwenye Tamasha la Africa Day 2013-Golden Jubilee Gala Dinner Siku
ya Alhamis Mei 24, 2013 ndani ya Ukumbi wa Hilton Hotel Jijini
Washington Dc
Rais
wa Jumuiya ya Watanzania DMV Mhe. Iddi Sandaly kiwa na Abdul (katikati)
pamoja na Mwana Mitindo mbunifu wa (Kwetu Fashion Design) Missy Temeke
Mamia ya wageni kutoka mataifa mbali mbali waliojumuika rasmi kwa ajili ya Tamasha
la Siku ya Afrika 2013 (Golden Jubilee Gala Dinner) Siku ya Alhamis Mei
24,2013 ndani ya Ukumbi wa Hilton Hotel uliopo Connecticut Ave, Jijini
Washington Dc
Mkuu
wa UNICEF, na pia aliekua mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu Nchini
Marekani NBA kutoka JKK, Dikembe Mutombo, akiwa kwenye African Day 2013
anayofanyika kila mwaka May 23, 2013 Jijini Washington DC
Kenyan
Ambassador to the US, H.E. Elkanah Odembo, akitoa Hotuba kwenye Tamasha
la Africa Day 2013-Golden Jubilee Gala Dinner Siku ya Alhamis Mei
24,2013 ndani ya Ukumbi wa Hilton Hotel Jijini Washington Dc
Kaimu
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Lily Munanka wapili kulia,
akipata picha ya pamoja na waTanzania waliohudhuria katika Tamasha la
Siku ya Afrika 2013 (Golden Jubilee Gala Dinner)
Post a Comment