Chanzo
kikuu cha vurugu ni kupinga gesi kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Dar.
Vurugu zilianza kwa kusambazwa vipeperushi vya kuhamasishana kufanya
vurugu
Athari
Nyumba ya Mbunge imechomwa, ofisi za CCM kata, Nyumba na ofisi mbalimbali
watu 91 wamekatwa, hali hiyo imedhibitiwa jeshi la ulinzi limeenda kwa
ombi la RC ambapo wakiwa njiani kuelekea huko askari 4 wamefariki kwa
ajali ya gari
Nawapongeza askari waliofanya kazi katika mazingira magumu kurudisha hali ya amani
Post a Comment