Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Taswira Mbalimbali Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma LEO

 


Baaadhi wabunge wakiingia katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera , Utaribu na Bunge William Lukuvi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ismani, Iringa (kushoto) akizungumza jambo na baadhi ya wabunge wa CHADEMA ambao ni Peter Msigwa, David Silinde , Joseph Mbilinyi , Makongoro Nyerere Ezekhia Wenje nje ya kumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi kutoka Sauti ya Walemavu ,aliyevaa fulana nyeupe ni Alex Mhando mjini Dodoma leo.Picha zote na Magreth Kinabo - MAELEZO DODOMA.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top