jiji la Dar es
salaam limenogeshwa kwa mambo mbalimbali mzunguko wa makutano ya barabara ya
msimbazi na uhuru picha kubwa ngalawa na mchoro wa bahari
Baadhi ya wakazi wa
jiji la Dar es salaam wakisubiriana kupita katika mawe yaliyowekwa kutokana na
dimbwi la maji ili wapate kudanda kama picha hii inavyonyesha leo kariakoo
DSM
Post a Comment