Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UZINDUZI WA TAWI LA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE ZANZIBAR


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Tawi la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,huko Bububu Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Dk.Salim Ahmed Salim.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mshauri wa Kitaalamu wa Chuo cha Ardhi serikali ya Muungano Dk.Staulans Ntiyakunze,(wa tatu kulia) baada ya kuzindua rasmi  Tawi la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,huko Bububu Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Dk.Salim Ahmed Salim.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiangalia meza na vikalio vyake wakati alipotembelea moja ya madarasa katika  Tawi la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,huko Bububu Zanzibar baada ya kuzindua Chuo hicho,(kushoto) Mkuu wa Chuo Dk. John Magoti, na pili kulia makamo wa kwanza wa Rauis wa Maalim Seif Sharif,akifuatiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Dk.Salim Ahmed Salim.
 Mwalimu wa Darasa la Kompyuta Julius Maungo,akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipotembelea katika darasa la kompyuta baada ya kuzindua rasmi Tawi la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,huko Bububu Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo Dk. John Magoti, baada ya kuzindua rasmi  Tawi la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,huko Bububu Zanzibar alipotembelea sehemu mbali mbali za Chuo hicho.
 Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Tawi la Zanzibar wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa chuo hicho uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akipokea zawadi kutooka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mwalimu Nyerere  Dk.Salim Ahmed Salim,wakati wa uzinduzi wa Tawi la Chuo hicho uliofanyika huko Bububu Nje ya Mji wa Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top