Kuptia
Tovuti ya kijamii ya Twitter Jeshi la waasi wa nchini DRC kimetuma
ujumbe wa vitisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, kufuatia
kauli aliyoitoa Bungeni leo kuhusu Tanzania kupeleka jeshi lake DRC
kukabiliana na waasi hao.
Ni hii ndio tweet yao
M23 Congo RDC @m23congordc 16h @
Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo. Usidaganye bunge lako eti
Tanzania inakuja zima moto,bali munakuja kuweka mafuta kwenye moto.NA
MPEKUZI
Post a Comment