Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipewa maelezo na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara
Wilman Ndile (kushoto) alipokwenda kuangalia jengo la Mahakama ya Mwanzo
Mitengo mjini Mtwara, jana. Jengo hilo lilichomwa moto na watu
wasiojulikana katika vurugu zilizotokea mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkuu
wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia. Picha na Abdallah
Bakari
Post a Comment