Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ZIARA YA MAKAMU WA CCM ZANZIBAR DKT. SHEIN KASKAZINI UNGUJA

IMG_0534
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar naMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua paziakuweka jiwe la msingi maskani ya Amani na Utulivu ya Nungwi Wilaya ya
Kasakazini A Unguja leo,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha
Mapinduzi .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0561
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akionesha
Kadi ya CUF,iliyorejeshwa kwa CCM leo wakati wa mkutano wa wananchi na
wana CCM wa Nugwi Wilaya ya Kaskazini A Unguja,katika ziara ya
kuimarisha Chama leo. .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
IMG_0562Mwanachama wa CUF aliyejitoa katika chama hicho Machu
Kombo Ali,alipokuwa akitoa ushuhuda wake mbele ya umati wa Wana
CCM,katika mkutano ulihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa
Kaskazini Unguja leo. .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0567
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
kadi Mwnachama mpya wa CCM Salum Khamis Juma,katika mkutano wa
wananchi na wanachama wa CCM wa Nugwi Wilaya ya Kaskazini A
Unguja,katika ziara ya kuimarisha Chama leo. .[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_0570
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
kadi Mwnachama mpya wa CCM Ali Makame Haji,katika mkutano wa wananchi
na wanachama wa CCM wa Nugwi Wilaya ya Kaskazini A Unguja,katika ziara
ya kuimarisha Chama leo. .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0572
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
kadi Mwnachama mpya wa CCM Mkasi Haji Juma,katika mkutano wa wananchi
na wanachama wa CCM wa Nugwi Wilaya ya Kaskazini A Unguja,katika ziara
ya kuimarisha Chama leo. .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0577Wanachama wapya wa CCM waliokabidhiwa kadi zao za
Chamawakila kiapo cha Utii ili kuanza kutumikia na kutekeleza mambo
mbali mbali yanayohusiana na Chama cha Mapinduzi,mbele ya Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha
Chama leo .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0580
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)
pamoja na Viongozi wengine wakila kiapo cha Utii wakati wancham wapya
walipoapishwa baada ya kuwakabidhi kazi,jumla ya wanachama Mia na
hamsini walikabidhiwa kadi zao,katika ziara ya Makamu ya Kuimarisha
Chama, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0600Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika kijiji cha
Nungwi,wakinyanyua mikono juu kuungamkono maneno ya msimamo wa Chama
cha Mapinduzi wakati Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali
Vuai,(katikati)katika ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,katika ziara ya kuimarisha Chama leo. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_0604
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM Jimbo la
Nungwi, katika ziara ya kuimarisha Chama leo. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_0620

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top