Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AJALI MBAYA YA MAGARI KUGONGANA YATOKEA KIBAMBA


Gari dogo aina ya toyota double cabin ikiwa imepinduka vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na gari ndogo aina ya Toyota Rav 4 maeneo ya kibamba.Mpaka tunaenda mitamboni haijafahamika kama kuna mtu amepoteza maisha
Hili ndio gari ndogo aina ya toyota double cabin iliyopinduka na kuumia vibaya baada ya kugongana na gari aina ya Rav 4 maeneo ya Kibamba.
Hii ndio Rav 4 iliyogongana uso kwa uso na gari iliyopinduka maeneo ya kibamba na kujeruhi dereva wa Double cabin na Rav 4
Askari wa Usalama Barabara akisimamisha magari yaliyokuwa yakipita kwaajili ya tahadhari
 
CREDITS: LUKAZA BLOG
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top