Na Ammar Ruweih
Gari aina ya SCANIA imewaka moto maeneo ya Mbezi Beach Samaki majira ya saa moja usiku imeteketea karibu yote Fire imefika majira ya saa mbili kutoka kkoo na kufanikiwa kutoa tanki la mafuta engen na kila kitu vilikwisha ungua..
Chanzo cha ajali ni kulika sana kwa break na tairi ya upande wa kushoto kupata pancha hivyo kupelekea moto kuanzia hapo hapo kwenye tairi hilo na dereva kuona hivyo yeye na konda wake wakaruka kutoka nje kupitia dirishani na vile gari haikuwa na fire extinguisher so gari ikazidi kushika moto mpaka pale majira ya saa tatu kasorobo fire ya jiji la dar ilipofika na kujaribu kuokoa tanki la mafuta na tela la gari hiyo lisiendelee kushika moto na kusababisha mlipuko ambao ungeweza kutokea...hakuna alieumia wala kujeruhiwa wala dereva hakukimbia alikua eneo la tukio kuanzia mwanzo hadi mwisho
Post a Comment