Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CHEKI MAELFU WALIVYOFURIKA KUMZIKA NGWEA LEO KATIKA MAKABURI YA MTAKATIFU MONICA KIHONDA MOROGORO. .... ONA MATUKIO YOTE YALIYOJILI HATUA KWA HATUA



JENEZA LENYE MWILI WA MWANAMUZI ALBERT KENETH MANGWEA LIKIWA LIMEBEBWA JUU JUU NA WAKAZI WA MJI WA MOROGORO MARA BAADA YA KUTEREMSHWA KATIKA GARI, HATA HIVYO HALI ILIKUWA MBAYA KWA WAANDISHI HASA PALE WALIPOTAK
A KUCHUKUA PICHA NA KUSHINDWA KUTOKANA WINGI WA UMATI WA WATU KUANZIA ENEO LA JAMHURI HADI MAKABURI NA HII INADHIHIRISHA KUWA NGWEA ALIKUWA NA THAMANI KUBWA MBELE YA WATANZANIA, 
PICHA WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
ULINZI ULIKUWA MKALI LAKINI KUTOKANA NA UMATI MKUBWA WA WATU KAZI YA KUWALINDA WATU HAO ILIKUWA NGUMU KAMA PICHANI INAYVYOONEKANA.
HII NI SEHEMU YA KWANZA YA MATUKIO YA MAZISHI YA MANGWEA KWANI SEHEMU YA PILI UTAWEZA KUONA NAMNA WATU WALIVYOJITOKEZA MAENEO MBALIMBALI YA BARABARA KUU ZA MANISPAA YA MOROGORO WAKIWA WAMEKAA KANDO YA BARABARA WAKITAKA KUSHUHUDIA SAFARI YA MWISHO YA KIPENZI CHETU ALBERT KENETH MANGWEA
295509_10152916043890525_1672230411_nWananchi ni wengi waliojitokeza kwenda kumuhifadhi msanii albert mangwea kwenye nyumba yake ya milele kama ionekanavyo pichani hapo ni makaburini.

16f11344cea711e2813a22000a1f8f34_7
75e8603ecea511e29ecd22000aaa08de_7
4406673ccea511e2850422000a1f9a85_7
“Marehemu Albert Mangweha azikwa kishujaa sana ni umati usioelezeka mungu akulaze mahali pema peponi,” ameandika Izzo B kwenye Instagram.
Naye Lady Jaydee kupitia Twitter ameandika: Mpk hapa tulipomsindikiza panatosha. Mungu amrehemu, kazi tumeimaliza. Life goes on.”
e1147594cea211e2a86422000a1f9839_7
ee9d94facea411e2a9ea22000ae81462_7
f18745b2cea411e2aa3022000a9e2931_7
Picha kutoka kwenye akaunti za Instagram za Millard Ayo, Mboni Masimba na Mwasiti.




 Hapa jeneza la Ngwair linaingizwa karubini, ikiwa ni picha inayoonyesha kuwa hatutaweza tena kukutana na msanii huyu hapa chini ya jua. R.I.P Ngwair.....
Jeneza lenye mwili wa Albert Mangweha likishushwa kaburini.
bb21b674cea911e2918122000a9f4d8a_7 /> Hapa ndipo alipolala Mangweir.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top