Loading...
Home »
Unlabelled »
DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MADAKTARI WA KICHINA IKULU
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Madakatari wa Kichina waliofika IKulu Mjini
Zanzibar, kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wao wa kazi,ambapo walikuwa
wakishirikiana na Madakatari wazalendo katika kutoa huduma mbali mbali
kwa wagojwa katika Hospitali za Unguja na Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Madakatari wa Kichina waliofika IKulu Mjini
Zanzibar, kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wao wa kazi,
ambapo walikuwa wakishirikiana na Madakatari wazalendo katika kutoa
huduma mbali mbali kwa wagojwa katika Hospitali za Unguja na
Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Madakatari wa Kichina waliofika
IKulu Mjini Zanzibar, kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wao wa kazi,ambapo walikuwa
wakishirikiana na Madakatari wazalendo katika kutoa huduma mbali mbali
kwa wagojwa katika Hospitali za Unguja na Pemba.{Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
on Friday, June 14, 2013
Post a Comment