Mfanyakazi wa ndani aliyejiua kisa mapenzi aitwaye
Devotha Sanga jana ameagwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es
Salaam.
Marehemu Devotha alijinyonga Juni 4 mwaka huu akiwa
nyumbani kwa bosi wake eneo la Kitunda jijini Dar kwa wivu wa
mapenzi.
Devotha alikuwa katika penzi na kijana mmoja
aliyejulikana kwa jina moja la Christopher anayedaiwa kuwa na wapenzi wengi
kiasi cha kusababisha marehemu kuchukua uamuzi huo.
Baada ya kuagwa mwili wa Devotha umesafirishwa kuelekea
Njombe kwa mazishi.






Post a Comment