Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Huyu Ndiye Mzee Aliyemgalagaza Barack Obama Chicago!

                        

0 0c109"Njia ya Obama kuelekea kwenye kushinda tuzo hiyo ya juu kabisa haikuwa rahisi. Na moja ya anguko la Obama la njiani ni pale, kama wasemavyo Waswahili, ‘alipogalagazwa’ na Mmarekani mweusi, Mzee Bobby Rush. Ni mwaka 2000, kwenye Uchaguzi wa kuingia kwenye Baraza la Halmashauri kule Chicago. Obama , akiwa kijana na msomi wa Chuo Kikuu alipambana na mzoefu wa siasa, Mzee Rush, na kilichomtokea ni kuambulia kura chache.
Obama hakuwa mzoefu kwenye mijadala. Aliongea kisomi zaidi, na hadhira yake haikumwelewa. Wakati Mzee Rush alikuwa mzoefu wa siasa, na aliongea lugha ya watu, Mzee Rush  alilimudu sana jukwaa. Obama alipotakiwa kutoa maoni yake baada ya anguko lile alitamka;
“ Kwangu kilichonitokea ni kama kupata ‘Elimu ya Siasa’!”  Anasema Obama. Ni hapo, ndipo Obama alipoanza kujifunza zaidi misingi ya kushindwa, kusimama, na kuendelea kupambana, na hatimaye kushinda, na zaidi, kujifunza kutokana na kushindwa."
Maggid,
Iringa.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top