Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal,
akifungua kongamano kuhusu ushindani kwa Nchi wanachama wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki lililoandaliwa na Jukwaa la Uchumi Duniani( World
Economic Forum) na kufanyika New Arusha Hotel mjini Arusha leo Juni
7/2013. 

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki Richard
Sezibera baada ya kufungua kongamano kuhusu ushindani kwa Nchi wanachama
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki lililoandaliwa na Jukwaa la Uchumi
Duniani( World Economic Forum)na kufanyika New Arusha Hotel mjini
Arusha leo Juni 7/2013. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal
katikati katibu mkuu wa umuiya ya afrika Mashariki Richard Sezibera
kulia, Mkuu wa mkoa Arusha Magesa Mulongo kushoto na aliyekua Waziri wa
mambo ya ndani Lawrence Masha wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa
zikiwasilishwa kwenye kongamano kuhusu ushindani kwa Nchi wanachama wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki lililoandaliwa na Jukwaa la Uchumi Duniani(
World Economic Forum) na kufanyika New Arusha Hotel mjini Arusha leo
Juni 7/2013

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki Richard
Sezibera baada ya kufungua kongamano kuhusu ushindani kwa Nchi wanachama
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki lililoandaliwa na Jukwaa la Uchumi
Duniani( World Economic Forum)na kufanyika New Arusha Hotel mjini
Arusha leo Juni 7/2013. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal,
katikati akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kongamano kuhusu
ushindani kwa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
lililoandaliwa na Jukwaa la Uchumi Duniani( World Economic Forum) na
kufanyika New Arusha Hotel mjini Arusha leo Juni 7/2013. (Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais)

Post a Comment