Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu
(CCM), akihutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Shule
ya Azimio, Tandika, Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Mtemvu
alivikabidhi vikundi vitano vya Kuweka na Kukopa (VICOBA, kila kimoja
msaada wa sh. 500,000 na kikundi cha ulinzi shsirikishi sh. 500,000 za
kutunisha mifuko hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu
(kulia), akikumbatiana na mmoja wa wanachama wa kikundi cha Vicoba cha
Tuyangatane waliofurahi kupatiwa msaada wa sh. 500,000 za kutunisha
mfuko wa kikundi hicho.
Mtemvu akikipatia kikundi cha Vigoba cha Tumaini msaada wa sh. laki tano
Kikundi cha Tupendane kikipatiwa laki tano
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu
(CCM), kulia, akimkabidhi hundi ya sh. 500,000 Mweka Hazina wa Kikundi
cha Saccos cha Pambazuko, Sophia Said, kwa ajili ya kutunisha mfuko wao,
katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Shule ya Azimio,
Tandika, Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Mtemvu alivipatia pia kiasi
kama hicho vikundi vingine vitano.
Mtemvu akimvisha filimbi Juma Mlanzi
ambaye ni miongoni mwa walinzi shirikishi 56 waliohitimu mafunzi ya
kijeshi. Pia walikabidhiwa vyeti.
Juma Kambona akikabidhiwa cheti baada ya kuhitimu mafunzo hayo
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu
(CCM), wa pili kulia, akimpatia cheti Mwanaisha Gea ambaye amekuwa
miongoni mwa vijana 56 waliohitimu mafunzo ya Ulinzi Shirikishi, katika
mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Shule ya Azimio, Tandika, Dar
es Salaam, mwishoni mwa wiki. Mtemvu alikikabidhi pia kikundi hicho cha
Ulinzi Shirikishi sh. 500,000 za kuanzishia Saccos yao. Kulia ni Diwani
wa Kata ya Azimio, Hamis Mzuzuri.
Jumanne Jumbe naye akikabidhiwa cheti baada ya kuhitimu mafunzo hayo
Mma Mkazi wa Kata ya Azimio akilalamika
mbele ya Mtemvu, kuhusu mchezo wa Kangha Mbendembende au kangamoko
unavyowadhalilidha wanawake ambapo aliomba upigwe marufuku kwa vile
auendani na maadili ya kitanmzania.
Mgambo
Said Amiri akilalamikia kitendo cha mabosi wake wa Kituo cha Polisi cha
Tambuka Reli kinavyowalea vibaka na majambazi katika eneo hilo.Picha
Zote na Richard Mwaikenda
Post a Comment