Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWINGULU NCHEMBA NUSURA AZICHAPE NA MSIGWA LEO MJINI DODOMA. ... SAKATA LENYEWE LILIKUWA HIVIIIII ...


https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRgGB-OShtb13WjVwd4Ax3fiy7oNOnoIW_UDP7fwGQB90RdfX6z_QKATIKA tukio lililotokea leo kwenye ukumbi wa St.Gasper Dodoma ambako wabunge wote wapo kwenye semina ya masuala ya ukimwi ambayo inaendelea kumetokea mtifuano na nusura Mwigulu arushe ngumi baada ya Mch. Msigwa kum
uita kuwa ni muuaji na hivyo atubu kutokana na damu za watoto wadogo na wakina mama wa Arusha ambao amekatiza maisha yao kwa sababu ya ukatili ambao hauwezi kuendelea kuvumiliwa kamwe.
Tukio hili lilifuatia baada ya wabunge wa Chadema ambao wameanza kurejea Dodoma kwenye Semina hiyo walipokuwa wakiwaambia wabunge wa CCM kuwa Bunge linarejea jumatatu kwani sasa limeshamaliza kukaaa kama kamati ya matumizi, hivyo litarejea kwani wabunge wa Chadema watakuwepo hali iliyozidisha hasira za wabunge hao ambao wengi wanaonekana kuwa na hang over za jana ktk kumuaga Sitta.

Mwigulu alinyanyuka kwenye kiti na kumfuata Msigwa na kumshika kifuani ila wabunge wenzake walienda kuamulia ugomvi huo na hali bado iko tete, semina inaendelea .

faida za kuwa Jf ni kupata habari za moto moto.

CHANZO  http://www.jamiiforums.com
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top