Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
Dunia kwa Nchi za Tanzania, Burundi na Uganda, Ofisini kwake Bungeni
mjini Dodoma leo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bw. Lars Christian Rais Mtendaji wa
STATOIL kampuni ambayo imegundaua gesi katika maji ya bahari yenye kina
kirefu katika eneo la Mtwara, Bungeni mjini Dodoma leo.
Post a Comment