
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Abdull Wakiliakizungumza katika
maadhimisho ya siku ya Magereza zilizofanyika Dar es Salaam jana katika
viwanja vya Chuo cha maofisa wa Jeshi la Magereza Ukonga Dar es Salaam .
PICHA NA DOTTO MWAIBALE


Maofisa wa jeshi hilo wakiwa katika sherehe za maadhimisho hayo.


Maofisa wa jeshi hilo wakiwa katika sherehe za maadhimisho hayo 

Wananchi na familia za askari Magereza wakifuatilia mambo mbalimbali kwenye sherehe hizo.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini John Minja

Maofisa wa jeshi hilo wakiwa katika sherehe za maadhimisho hayo 

Wananchi wakitembelea maonyesho ya bidhaa mbalimbali katika maadhimisho hayo


Post a Comment