Baadhi
ya wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi ya GYM wakisimamiwa kwa karibu na kocha
wao Mkuu, King Abdallah Kibadeni hayupo pichani na msaidizi wake Jamhuri Kihwelo
Julio.
Kocha
msaidizi wa Simba, Jamhuri Kihwelo Julio wa pili kutoka kulia akisimamia mazoezi
ya GYM ya wachezaji wake yanayoendelea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
kujiweka sawa.
Tunajifua
jamani. Ndivyo wanavyojisemea moyoni mwao wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi
leo jijini Dar es Salaam.
credits: Kambi Mbwana
Post a Comment