Wafanyakazi wa Benki ya Barclays wakitoa msaada wa vitu
,mbalimbali katika wodi ya watoto Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es
Salaam, vikiwemo sabuni, vyandaru, miswaki, vinywaji baridi pamoja na dawa za
meno, vitu hivyo vimetokana na michango ya wafanyakazi wanawake wa benki
hiyo.
Mwanasheria
wa Benki ya Barclays, Farija Ghilas akimkabidhi sehemu ya msaada waliotoa kwa
watoto waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam,
Sakina Hassani. Vitu hivyo vimetokana na michango ya wafanyakazi wanawake
wanaofanyakazi katika benki hivyo.
Rahma Said
mkazi wa Manzese jijini Dar es Salaam akipokea sehemu ya msaada uliotolewa na
wafanyakazi wanawake wa benki ya Barclays wakati walipofika kuwajulia hali
wagonjwa waliolazwa katika wodi ya watoto katika hospitali ta Taifa Muhimbili.
Vitu vilivyokabidhiwa leo ni pamoja na sabuni,
vyandaru, miswaki, vinywaji baridi pamoja na dawa za meno, vitu hivyo vimetokana
na michango ya wafanyakazi wanawake wa benki hiyo.
Mwanasheria wa Benki ya
Barclays, Farija Ghilas akimkabidhi sehemu ya msaada waliotoa kwa watoto
waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam jana, Sakina
Hassani. Vitu vimetokana na michango ya wafanyakazi wanawake wanaofanyakazi
katika benki hivyo.
Ahsante kwa
zawadi.
Poa zawadi
ya mafuta mama.
Mkuu wa
Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Barclays, Neema Sengo akizungumza
na waandishi wa habari baada kutembelea wodi ya watoto katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili jijini Dar es Salaam na kwafariji watoto walolazwa katika wodi hiyo na
kuwabidhi vitu mbalimbali vikiwemo sabuni, miswaki, vyandarua, mafuta, pamoja na
vinywaji baridi kwa watoto waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini
Dar es salaam, leo.
Post a Comment