Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi
akimkabidhi kitita cha shilingi milioni moja mshindi wa kwanza wa shindano la,
"Tweet Wazo Jipya Kuondoa Umaskini", Jilly
Gaudence Kyomo katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Institute Of
Management and Enterprenuership, Dkt. Donath Olomi.
Kulia ni mshindi wa pili, Peter George aliyejinyakulia
shilingi laki tano na mwanafunzi wa chuo cha CBE, Ludovick Angelino, ambaye ni
mshindi wa tatu aliyejinyakulia shilingi laki tatu



Post a Comment