Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema jeshi la polisi litaendelea kuwakabili na kuwadhibiti ikiwa ni pamoja na kupiga wale wote wanaokiuka amri halali inayotolewa katika kulinda amani ya nchi iliyopo .
Mhe Pinda amesema hayo bungeni mjini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali kwa waziri mkuu akijibu swali aliloulizwa juu ya matukio ya polisi kudaiwa kupiga wananchi katika matukio ya hivi karibuni
on Friday, June 21, 2013
Post a Comment