Makamu
wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihutubia wakati akifunga
rasmi Kozi ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), katika sherehe
za maafali ya wahitimu wa mafunzo hayo zilizofanyika chuoni hapo
Kunduchi, Jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2013. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya
Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) ACP Charles Omari
Mkumbo, wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam
Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe hizo, waliochanganyikana na wahitimu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo,
katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Hassan Khatib Hassan, wakati wa
sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Mabalozi wa Nchi za nje nchini Tanzania (kulia), waliohudhuria sherehe hizo (kushoto) ni baadhi ya wahitimu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozwa na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Charles Makakala,
wakati alipokuwa akitembelea katika Maktaba ya chuo hicho, baada ya
kufunga rasmi Kozi ya Kwanza ya Chuo hicho
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya
Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) ACP Faustine Martin
Kasike, wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wahitimu wa Kozi hiyo, wakiwa na zawadi na Vyeti vyao baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na baadhi ya viongozi, wakiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na wahitimu wa Kozi hiyo, baada ya kufunga rasmi Kozi ya Kwanza ya Chuo hicho
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika
Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Brig Gen Yacoub Hassan Mohamed, wakati
wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho,
Kunduchi jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2013. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha utambulisho wa Ukufunzi wa Kozi maalum
ya Kwanza ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Gen
Mstaafu wa Jeshi, George M. Waitara (Rtd) wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Wakufunzi wa Kozi hiyo, Eginald Mihanjo, Reginald Mengi na Ibrahim Lipumba, baada ya kufunga rasmi Kozi ya Kwanza ya Chuo hicho.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha utambulisho wa Ukufunzi wa Kozi maalum
ya Kwanza ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Prof.
Ibrahim Lipumba, wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha utambulisho wa Ukufunzi wa Kozi maalum ya Kwanza
ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Dkt. Regnald Abraham
Mengi, wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo
hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Post a Comment