Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ddk. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, wakati
alipowasili kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Julai 19,
2013 kwa ajili ya kufungua mkutano wa pamoja kati ya Taasisi za Serikali
na Sekta Binafsi, kuhusu uwekezaji mkoani Tabora. Mkutano huo
umefanyika leo jijini Dar. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma
Mwasa (kulia) ni Julieth Kairuki.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizindua Jarida maalum la
Vivutio vya Uwekezaji vya mkoani Tabora, baada ya kufungua rasmi mkutano
wa pamoja kati ya Taasisi za Serikali na Sekta Binafsi, kuhusu
uwekezaji mkoani Tabora, uliofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwasa (wa pili kulia) ni Waziri wa
Afrika Mashariki, Samwel Sitta na Julieth Kairuki.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua mkutano wa pamoja kati ya Taasisi za
Serikali na Sekta Binafsi, kuhusu uwekezaji mkoani Tabora, uliofanyika
kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri
wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, akizungumza machache kabla ya
kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais Dkt. Bilal, kufungua mkutano
huo.
Julieth Kairuki, akizungumza.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akiwahutubia kufungua mkutano huo.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
Post a Comment