Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Ukimwi,
UNAIDS, Michel Sidibe, wakati walipokutana katika Mkutano wa 12 wa
Afrika unaojadili magonjwa ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Abuja +12)
uliofanyika jana na kufunguliwa na Rais wa Nigeria Dkt. Goodluck
Jonathan, mjini Abuja Nigeria na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa
Nchi za Afrika.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Ukimwi,
UNAIDS, Michel Sidibe, baada ya mazungumzo yao walipokutana katika
Mkutano wa 12 wa Afrika unaojadili magonjwa ya Ukimwi, Kifua Kikuu na
Malaria (Abuja +12) uliofanyika jana na kufunguliwa na Rais wa Nigeria
Dkt. Goodluck Jonathan, mjini Abuja Nigeria na kuhudhuriwa na Viongozi
mbalimbali wa Nchi za Afrika.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan na
baadhi ya Marais wengine baada ya kufunguliwa mkutano wa 12 wa Afrika
unaojadili magonjwa ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Abuja +12)

Post a Comment