Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MASHINDANO YA KUSOMA QUR AAN TUKUFU KITAIFA YA AISHA SURURU YAFIKIA TAMATI LEO

 


Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Abdallah 
Abdulkadri, akisoma wakati wa fainali.
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Seif Salim Said ambaye ni mlemavu wa macho akisoma wakati wa fainali leo.
Baadhi ya viongozi wa Dini wakifuatilia mashindano hayo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
Baadhi ya wanafunzi walioshiriki katika fainali hizo za kusoma
Quran tukufu.
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Ummy Swaleh Said ambaye ni mremavu wa macho akisoma wakati wa fainali yake leo.
Baadhi ya waumini wa Dini Ya Kislam wakiongozwa na Bi,Aisha Sururu wakifatilia Mashindano Hayo.
Zawadi walizopewa washindi
Mgeni Rasmi katika Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa Dkt. Suleiman Ally Yussuf (kulia) na Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ,Morteza Sabouri, wakimkabizi zawadi ya Bajajji  pamoja na pesa Sh.500,000, mshindi wa kuhifadhi Quran tukufu, Suria Ally Bakari leo.
Mgeni Rasmi katika Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa Dkt. Suleiman Ally Yussuf  (kulia) akimkabidhi mshindi, Abdul Hamid, zawadi ya Bajaji na pesa taslimu Sh. 500,000.

Mgeni Rasmi katika Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa Dkt. Suleiman Ally Yussuf (kulia) na Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ,Morteza Sabouri, wakimkabidhi zawadi wa chereani mshindi wa kusoma juzuu 20.
Baadhi ya washindi wa kuhifadhi Quran Tukufu wakiomba Duwa baada ya kumalizika mashindano hayo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top