Waziri
mkuu mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Brigedi ya Kusini Brigedia
Jenerali John Chacha wakati alipokuwa akiwasili wilayani Namtumbo mkoani
Ruvuma
Waziri mkuu mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa wilaya ya Namtumbo Alhaji
Mohamed Maje wakati alipokuwa akiwasili wilayani hapo akitokea Tunduru
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mhe. Abdul Lutavi akisoma taarifa kwa Waziri mkuu Mizengo pinda wakati alipotembea Wilayani hapo
Nivizuri kupanua wigo wa barabara ili kufungua zaidi Songea namtupo kipande cha kwanza, namtumbo Tunduru
Mkurugenzi
wa wilaya ya Namtumbo Alhaji
Mohamed Majeakisoma Taarifa ya mradi wa ujenzi wa Hospital ya Wilaya ya
Namtumbo kwa kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe:
Mizengo Kayanza Pinda (MB). Mradi huo unatokana na ahadi ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete aliyoitoa
mara ya kwanza alipofanya ziara wilayani Namtumbo mwaka 2009 na
kusisitiza tena Oktoba 2010 wakati wa kampeni ya Uchaguzi mkuu wa Octoba
2010.Baada ya wananchi kumweleza Mhe. Rais kero mbalimbali
zinazowakabili ikiwemo ya Hospital. Mradi huo umeghalimu kiasi cha
Tshs 600.000,000.00
Mkurugenzi wa wilaya ya Namtumbo Alhaji
Mohamed akimpa taarifa ya jengo la hospital Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Mizengo Kayanza Pinda (MB)
Waziri mkuu Mizengo Kayanza Pinda akifungua hospital
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Mizengo Kayanza Pinda (MB)
wa katikati akipewa maelezo mafupi toka kwa mganga wa mkuu wa wilaya ya
Namtumbo
Jengo la Hospital
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Mizengo Kayanza Pinda (MB)
akimuuliza swali bwana mifungo wa Wilaya ya Namtumbo alipofika katika
ufunguzi wa Machinjio ya Ng'ombe.
Mradi
huu wa machinjio ulibuniwa na wananchi wa kijiji cha Minazini kupitia
Mpango shirikishi wa fursa na vikwazo.Mradi huu ulianza kujengwa mwaka
wa fedha 2008/2009 chini ya ya mpango wa maendeleo ya kilimo wa Wilaya
(DADPS). Mradi upo katika kijiji cha Minazini kilometa tatu kutoka makao
makuu ya Wilaya .Umejengwa kwa awamu tatu na umekamilika mwezi April
2013,Ujenzi wa jengo hili umeghalimu jumla ya shilingi 148,259,120 ikiwa
ni jumla ya fedha zote zilizotolewa kwa awamu hizo .
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Mizengo Kayanza Pinda (MB)
akikata utepe katika ufunguzi wa Machinjio ya Minazini wilayani
Namtumbo
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Mizengo Kayanza Pinda (MB) akivaa koti maalum wakati wa kukagua Machinjo
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Mizengo Kayanza Pinda (MB) akikata utepe
katika ufunguzi wa Mitambo ya umeme wa Jeneleta wilayani Namtumbo
katika ufunguzi wa Mitambo ya umeme wa Jeneleta wilayani Namtumbo
Waziri mkuu akimalizia kukata utepe katika ufunguzi wa Mitambo ya umeme wa Jeneleta wilayani Namtumbo
Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pinda akipewa maelezo na Mhandisi Stevine Manda baada ya kuzindua mitambo ya umeme
Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pinda akiwa katika picha ya pamoja
Bango
Hawa
ni baadhi ya viongozi mbalimbali wachama na Serikali wakiwa na Waziri
Mkuu katika ziara yake Wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma
Toka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Abdallah Lutavi akiteta jambo na Mkurugenzi wa wilaya ya Namtumbo Alhaji
Mohamed na wa mwisho kushoto ni Katibu tawala wa wilaya ya Namtumbo
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akiwasalimia wananchi wa namtumbo wakati akiingia
uwanjani kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa Namtumbo
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akivishwa vazi la jadi na Wazee wa kimila wa Namtumbo na
Kumuomba aspire marungu wala rushwa. Waziri Mkuu Pinda ametegua
kitendawili cha kuhitaji mkoa wilaya za Tunduru na Namtumbo na kuwataka
waanzishe mchakato wa kuomba mkoa huo kusukuma maendeeleo yaliyodumaa
kwa miundombinu duni na kuwa na eneo la utawala linalokadiriwa kufikia
km za mraba 40 elfu.
Waziri mkuu akikabidhiwa Chidonga(Lungu) na mzee wa kimila alipo
Waziri mkuu Mizengo Kayanza Pinda akipokea zawadi ya Kichenje
Post a Comment