|
Mkuu wa wilaya ya Iringa Dr Leticia Warioba aliyesimama pichani ni mgonjwa kweli watanzania tunapaswa kumuombea ili afya yake iweze kuimalika kwa sasa amepelekwa katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi kwa ndege kutokana na hali yake kuwa mbaya zaidi.
CREDITS: FRANCIS GODWIN |
on Tuesday, July 16, 2013
Post a Comment