Ndege
ya kampuni ya Coastal inayofanya safari zake kutokea Dar kwenda kwenye
miji na mapori karibu yote yenye airstrips hapa nchini ikiwa imebinuka
huko Kiwanja cha ndege cha Arusha baada ya wahudumu wake kukosea namna
ya upangaji wa mizigo ndani ya ndege hiyo na pia kutokuweka vifaa maalum
vya usalama vya kuzuia kubinuka! Hili ni tatizo la kuchanganya Uswahili
na mambo ya kitaalamu!
--- Picha, maelezo: PakaJimmy via JamiiForums
--- Picha, maelezo: PakaJimmy via JamiiForums
Post a Comment