Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Balozi wa China nchini, Dr. Lu kabla ya
kushuhudia upakuaji wa mabomba ya gesi kwenye bandari ya Mtwara , Julai
18, 2013. Mabomba hayo yatatandikwa ardhini ili kusafirisha gesi kutoka
Mtwara hadi Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuzindua utelemshaji wa mabomba ya
gesi kutoka kwenye meli kwenye bandari ya Mtwara Julai 18, 2013. Mabomba
hayo yatatandikwa chini ya ardhi kusafisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar
es salaam. Kulia kwake ni Balozi wa China nchini, Dr. Lu na Kulia ni
Naibu Waziri wa Nishati na Madini , Stephen Masela. Kushoto ni Mkuu wa
Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wairi
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia
(wapili kushoto) wakati alipozindua utelemshaji wa mabomba ya gesi
kutoka kwenye meli kwenye bandari ya Mtwara, Julai 18, 2013. Mabomba
hayo yatatandikwa ardhini ili kuwezesha usafirishaji wa gesi kutoka
Mtwara hadi Dar es salaam. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Hassan Kasuguru,nahodha alieingiza
bandarini Mtwara meli yenye mabomba ya gesi kutoka China wakati
alipozindua upakuaji wa mabomba hayo Julai 18, 2013. (Picha n Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Post a Comment