Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RC Kilimanjaro akagua athari za Moto Mlima Kilimanjaro

 


1
Gari Maalum la Hifadhi ya Kilimanjaro aina ya UNIMOG lililotengenezwa Ujerumani linaloweza kuhimili njia ya kiutawala ya kufika hadi   kituo cha Kibo Mlimani Kilimanjaro likiwa limembeba mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama waandishi wa habari na maofisa wa hifadhi ya mlima Kilimanjaro na TANAPA wakati wakikagua athari za moto uliotokea na kuunguza baadhi ya maeneo ya mlima kilimanjaro 2Wanahabari wakipanda gari hilo kwa ajili ya kuelekea kituo cha Horombo  kuangalia athari za moto.
 3
Safari ya kuelekea Horombo ikiendelea na Mlima Kilimanjaro ukionekana kwa mbali.
4
Safari ikiendelea huku vumbi kubwa likitimka 5
Mkuu wa Wilaya ya Moshi Dk. Ibrahim Msengi (mwenye kofia nyeupe) alikuwa ndani ya UNIMOG kuelekea Horombo 6
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa ndani ya gari kuelekea Horombo 7
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama na ujumbe wake wakiwasili eneo la Horombo kukagua athari za moto

8
Milima inayoonekana kwa mbali ndiyo iliyoungua na moto9
Mkuu wa Hifadhi ya Kilimanjaro Erastus Lufungulo (kushoto) akisoma taarifa ya moto kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
10
Mkuu wa Hifadhi akionyesha eneo lililoathirika na moto
11
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akishika pande la barafu lililoganda eneo la Horombo ambapo ni urefu wa Mita zaidi ya  3,700 juu ya uswa wa bahari.
 Picha zote na mdau Pascal Shelutete
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top