Mshambuliaji
wa timu ya Taifa (Taifa Stars),John Boko (14) akiwa na mpira mbele ya
Beki wa timu ya Uganda ( The Cranes) katika mchezo wa kuwania tiketi ya
kucheza Kombe la mashindano ya Afrika kwa wachezaji wa ndani
(CHAN),uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.Taifa Stars imekubali kipigo cha Bao 1-0 kutoka kwa Uganda.
John Boko akiondoka na mpira kuelekea langoni mwa timu ya Uganda.
hapa hapiti mtu .....
Mrisho
Ngassa akitaka kuwatoka Mabeki wa Uganda wakati wa mchezo wa kuwania
tiketi ya kucheza Kombe la mashindano ya Afrika kwa wachezaji wa ndani
(CHAN),uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.Taifa Stars imekubali kipigo cha Bao 1-0 kutoka kwa Uganda.
PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.

Post a Comment