Mshambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki
wa URA ya Uganda, Lutimba Yayo, wakati wa mchezo wa kimataifa wa
kirafiki uliochezwa leo jino kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam. Timu hizo zilitoka sare kwa kufungana mabao 2-2, huku Yanga
ikifanikiwa kuchomoa dakika za marejuhi. Mabao ya Yanga, bao la kwanza lilifungwa na Didier Kavumbagu na la pili, lilifungwa na Jerry Tegete.
Mtanange ukiendelea......
Mabeki wa Yanga wakimdhibiti mchezaji wa URA.
Post a Comment