Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
na mkewe Tunu (kushoto) wakisalimiana na Madwani wa Songea Vijijini baada ya
kuwasli kwenye kijiji cha Mkenda kuweka jiwe la Msingi la Soko wakiwa katika
ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 19,2013.
Wananchi wa Songea Vijijini
wakicheza ngoma ya Lizombe wakti Waziri Mkuu,Mizengo Pinda alipoweka jiwe la
Msingi la ujenzi wa soko na kuhutubia wananchi katika kijiji cha Mkenda akiwa
katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 19,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
na katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara , Joyce Mapunjo wakiweka jiwe la
msingi la ujenzi wa soko katika kijiji cha Mkenda wialyani Songea Vijijini Julai
19, 2013. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na Katibu Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara
ya Viwanda na Biashara, Joyce Mapunjo kabla ya kuweka jiwe la msingi la soko
katika kijiji cha Mkenda wilayni Songea Vijijini akiwa katika ziara ya mkoa wa
Ruvuma.Katikati ni Mbunge wa Peramiho,Jenista Mhagama.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akiwaaga wananchi wa Kijiji cha Mkenda, Songea Vijijini baada ya kuweka jiwe la
msingi kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa ruvuma Jaulai 19, 2013.
Katikati ni Mkewe Tunu na kulia ni Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na askari wa Msumbiji wakati alipopita kwenye mpaka kati ya nchi
hiyo na Tanzania katika kijiji cha Mkenda akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma
Julai 19,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
na Mkewe Tunu wakiteta na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama (kushoto) baada ya
kuwasili kwenye kijiji cha Mpitimbi kuzindua msimu wa ununuzi wa mahindi Julai
19, 2013. Walikuwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akipima katika mzani gunia la mahindi kuashiria uzinduzi wa msimu wa ununuzi wa
mahindi katika kijiji cha Mpitimbi akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai
19, 2013. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mpitimbi wailayani Songea Vijijini Julai 19,
2013 baada yakuzindua msimu wa ununuzi wa mahindi akiwa katika ziara ya mkoa wa
Ruvuama.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akiagana na wazee wa Songea baada ya kuzungumza nao kwenye Ikulu ndogo ya Songea
akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 19, 2013.
Post a Comment