Msaidizi
wa Makamu wa Rais wa masuala ya Maendeleo ya Jamii, Mgeni Feruzi
Kayanda, akimkabidhi Pikipiki Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Geodan
Rugimbana, aliyeikabidhi Pikipiki hiyo kwa wananchi wa Mji mpya wa Mabwe
pande kwa niaba ya Makamu wa Rais, wakati wa hafla fupi iliyofanyika
leo katika mji huo mpya. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mji Mpya wa
Mabwe Pande, Abdallah Kunja.
Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Geodan Rugimbana, akimkabidhi Pikipiki na
nyaraka muhimu, Mwenyekiti wa Kamati ya Mji Mpya wa Mabwe Pande,
Abdallah Kunja, wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo katika mji huo
mpya, ambapo Mkuu wa Wilaya, alikabidhi Pikipiki hiyo kwa wananchi wa
Mji mpya wa Mabwe pande kwa niaba ya Makamu wa Rais.
Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Geodan Rugimbana, akizungumza na wananchi wa
Mji mpya wa Mabwe Pande, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi Pikipiki kwa
wananchi wa mji huo mpya, ambapo Mkuu wa Wilaya, alikabidhi Pikipiki
hiyo kwa wananchi wa Mji mpya wa Mabwe pande kwa niaba ya Makamu wa
Rais.
Msaidizi
wa Makamu wa Rais wa masuala ya Maendeleo ya Jamii, Mgeni Feruzi
Kayanda, akizungumza machache wakati wa hafla hiyo baada ya
makabidhiano.
Sehemu ya wakazi wa Mji Mpya wa Mabwe Pande waliohudhuria hafla hiyo ya makabidhiano.
Sehemu ya wakazi wa Mji Mpya wa Mabwe Pande waliohudhuria hafla hiyo ya makabidhiano.








Post a Comment