Rais Jakaya Kikwete akitoka kuwajulia hali raia wawili wa Uingereza
Kristie Trup na Katie Gee waliolazwa katika Hospitali ya Aga Khan, Dar
es Salaam baada ya kumwagiwa tindikali huko Zanzibar juzi. Kushoto kwa
Rais ni Mganga Mkuu wa Aga Khan, Dk Jaffery Dharsee .


Post a Comment