Grace Mbowe mwanamama aliyedaiwa kutoka chama cha Chadema na kuhamia CCM wilayani Hai Amefariki kwenye ajali mbaya iliyotokea Kabuku mkoani Tanga mapema asbuhi hii. Ni dadake Mwenyekiti wa CHADEMA.
Post a Comment