
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania Mh. Benjamin Mkapa ambaye alikuwa
mgeni rasmi akitoa risala ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mpango
mkakati wa kuendeleza sekta ya Afya kwa wananchi wa Vijijini mwaka
2013-2018 katika halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na
Taasisi ya Benjamin William Mkapa iliyofanyika Serena Hoteli jijini
Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa Dkt.Ellen
Senkoro akitoa historia fupi wakati wa ufunguzi wa mpango mkakati wa
Taasisi hiyo kwa mwaka 2013-2018 katika halfa ya chakula cha usiku
kilichoandaliwa na Taasisi hiyo na kuhudhuliwa wadau mbalimbali katika
Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.



Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania kulia Mh. Benjamin Mkapa ambaye
alikuwa mgeni rasmi akifungua rasmi Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa
mwaka 2013-2018 wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William
Mkapa katika halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi
hiyo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,kushoto ni
Mkuregenzi wa Taasisi hiyo Dkt.Ellen Senkoro

Rais
Mstaafu wa awamu ya tatuTanzania Mh. Benjamin Mkapa ambaye alikuwa
mgeni rasmi akikabidhi cheti cha shukrani kwa Bw .Jonson Mshana
mwakilishi kutoka Banki M katika ufunguzi wa Mpango mkakati wa awamu ya
pili kwa mwaka 2013-2018 wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin
William Mkapa wakati wa halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa
na Taasisi hiyo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. 

Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania Mh. Benjamin Mkapa ambaye alikuwa
mgeni rasmi akikabidhi cheti cha shukrani kwa Bi .Rahel Sheiza
Mkurugenzi Mipango wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Benjamin William
Mkapa katika ufunguzi wa Mpango mkakati wa awamu ya pili kwa mwaka
2013-2018 katika wa halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na
Taasisi hiyo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Wageni
waalikwa wakifuatilia kwa umakini matukio mbalimbali katika wa halfa ya
chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya
Benjamin William Mkapa wakati wa ufunguzi wa mpango mkakati wa awamu
ya pili kwa mwaka 2013-2018 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam.



Wanamuziki
wa nyumba ya vipaji Tanzania(THT) wakitoa burudani kwa wageni waalikwa
waliofika katika halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Taasisi
isyo ya kiserikali ya Benjamin William Mkapa wakati wa ufunguzi wa awamu
ya pili ya mpango makakati kwa mwaka 20013-2018 wa Taasisi hiyo katika
Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Lorietha Laurence -Maelezo
Post a Comment