Afisa masoko wa kampini ya Gf Trucks & equipments, Gerald William (kushoto)Akiwaelezea
uwezo na ubora wa Mitambo mipya ya kutengenezea Barabara
(Wheel Loader) aina ya Doosan baadhi ya wahandisi walotembelea banda
lao wakati wa uzinduzi wa mitambo hiyo uliofanyika katika mkutano mkuu
wa Mwaka wa ERB jijini Dar es Salaam.Mtaalamu
wa ufundi wa kampuni ya Gf Trucks & equipments,Salum Issa
(kushoto) Akiwaelezea uwezo na ubora wa Mitambo mipya ya kutengenezea
Barabara (Wheel Loader) aina ya Doosan baadhi ya wahandisi walotembelea
banda lao wakati wa uzinduzi wa mitambo hiyo uliofanyika katika mkutano
mkuu wa Mwaka wa ERB jijini Dar es Salaam.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
-
Duniani Leo2 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment