Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MHE JOSEPH MBILINYI ASAKWA NA JESHI LA POLISI MJINI DODOMA

http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/02/5-aka-sugu1.jpgTAARIFA za uhakika ni kuwa kuna Askari mmoja ambaye ni miongoni mwa walinzi wa Bunge ameenda kufungua faili Polisi Dodoma na kusema kuwa ametishiwa kupigwa na Mbunge Sugu, baada ya kufungua JALADA hilo polisi wamechukua Diffender sita na wameingia mitaani kumtafuta ili awekwe ndani mpaka kesho ndio afikishwe mahakamani asubuhi. 

Lengo la kutaka kumkamata leo ili alala ndani hadi kesho asubuhi.chanzo jamiiforums.com
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top