Muhasibu
Mkuu wa Jeshi la Polisi Bw. Frank Msaki, Afisa Mnadhimu wa Polisi makao
makuu, kamishina msaidizi Hassan Mbezi wakifuatilia mada katika
mkutano unaofanyika Moshi, Mkoani Kilimanjaro katika Chuo cha Taaluma ya
Polisi. Picha naTamimu Adam, Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Maduka ya Polisi Kamishina Msaidizi wa Polisi Ally Omari akitoa mada
katika mkutano unaofanyika Moshi, Mkoani Kilimanjaro katika Chuo cha
Taaluma ya Polisi. Picha naTamimu Adam, Jeshi la Polisi. Wajumbe
wakifuatilia mada mbalimbali zinazowasilishwa katika mkutano
unaofanyika Moshi, Mkoani Kilimanjaro katika Chuo cha TaalumayaPolisi.PichanaTamimu Adam, Jeshi la Polisi.
Post a Comment