Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akisalimiana na Mganga Mkuu wa
Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo ,Mastidia Rutaihwa baada ya kumkabidhi
moja ya boksi la dawa na vifa vilivyotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya (NHIF) wakati wa Uzinduzi rasmi wa Huduma za Tiba kutoka kwa
Madaktari Bingwa kwa wanachama wa NHIF katika jamii ya Mkoa wa Pwani
uzinduzi huo ulizihusisha wilaya zote tata za Rufiji, Mafia na
Bagamoyo.Katikati anaye shuhudia ni Mjumbe wa Bodi ya NHIF Charles
Kajege.
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mwatumu Mahiza akiteta jambo na Madaktari Bingwa wa
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya baada ya kuzindua zoezi la kutoa Huduma
za Tiba kutoka kwa Madaktari Bingwa kwa wanachama wa mfuko wa NHIF.
Uzinduzi huo ulifanyika katika Wilaya ya Bagamoyo kwa niaba ya wilaya
za Rufia na Mafia .
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akihutubia wananchi wa Wilaya ya
Bagamoyo wakati wa Uzinduzi rasmi wa zoezi la kutoa Huduma za Tiba
Kutoka kwa Madaktari Bingwa kwa Wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF) kwa Jamii ya Mkoa wa Pwani, wa pili kutoka kushoto ni mjumbe
wa Bodi ya NHIF Charles Kajege,Mkurugenzi Rasmaili Watu na Utawala Beatus Chijumba na Meneja Mkuu wa NHIF mkoa wa Pwani Andrew Mwilunga. Mjumbe
wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Charles Kajege akimkabidhi
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza moja ya boksi lenye vifaa na
Dawa wakati wa Uzinduzi rasmi wa zoezi la Huduma za Tiba kutoka kwa
Madaktari Bingwa wa NHIF, kwa wanachama wa mfuko huo na jamii ya Mkoa
wa Pwani .Uzinduzi huo ulifanyika katikaWilaya ya Bagamoyo kwa niaba ya
wilaya za Mafia na Rufiji.
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi wa
Rasmali Watu na Utawala wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Beatus
Chijumba baada ya kuzindua Zoezi la Kutoa Huduma za Tiba kutoka kwa
Madaktari Bingwa kwa wanachama wa NHIF na Jamii ya mkoa wa Pwani.
Uzinduzi huo ulifanyika katika Wilaya ya Bagamoyo kwa niaba ya Wilaya ya
Rufiji na Mafia
Post a Comment