
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Sinza E amepata ajali
ya kugongwa na bodaboda maeneo ya vatican karibu kabisa na kituo cha lion.
Mwendesha bodaboda mwenye koti jeusi na pensi
ndiye mmiliki wa pikipiki hiyo
Wananchi wakimpakia mwenyekiti huyo kwenye gari la
Msamalia mwema tayari kwa kumpeleka hospitali ya palestina
sinza.

Post a Comment