Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimiana na wananchi
wa eneo la Ruaha Buyuni waliokuja kumpokea tayari kwa uzinduzi wa Mbio
za Bendera.
Wanachama
na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wakishangilia salaam walizokuwa
wanapewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa Vijana Sixtus Mapunda akisalimia wakazi wa Ruaha
Buyuni wakati wa uzinduzi wa wa Mbio za Bendera ya Chama mkoani Iringa
Wananchi
wakifuatilia kwa makini hotuba za viongozi wa chama waliofika wakati wa
uzinduzi wa Mbio za Bendera ya Chama mkoani Iringa.
Viongozi
wa Chama mkoani iringa wakifuatilia ratiba ya matukio mbali mbali
yaliyopangwa wakati wa uzinduzi wa mbio za Bendera ya Chama Mkoani
Iringa.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifungua Bendera ya Chama tayari kwa kuanza kwa mbio za Bendera ya Chama .
Vijana
wakakamavu wa chama wakiwa wamebeba picha ya Mwenyekiti wa Chama ambayo
itakimbizwa sanjali na Bendera ya Chama katika mkoa wa Iringa.
Bendera
na Picha ya Mwenyekiti ambazo lengo ni kuwakumbusha wana CCM kukilinda
na kukitetea chama ikiwa pamoja na kuwaeleza utekelezaji wa ilani ya
uchaguzi.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akihutubia wakazi wa Ruaha Mbuyuni wakati wa uzinduzi wa mbio za Bendera ya chama mkoani hapo |
Katibu
wa NEC Itikad na Uenezi akihutubia wakati wa Iringa ambapo aliwaambia
mbio hizo zitawasaidia wakazi wa mkoa huo kuelewa utekelezaji wa ilani
ya uchaguzi, kukilinda na kujenga chama.
Katibu wa NEC akikabidhi mpira kwa moja ya timu zilizofanya vizuri.
Katibu wa NEC akikabidhi vyeti vya kutambua mchango wa mabalozi wa nyumba kumi .
Bendera ya Chama ikiwa juu kama ishara ya kuwa mbio za Bendera zimeshaanza.
Post a Comment