Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

PHILIMON LUHANJO AKABIDHIWA GARI

 


IMG_0561Mwenyekiti wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Wanging’ombe Philimon Luhanjo akisaini kitabu cha wageni
ofisi kwa Naibu Waziri wa Maji, Wakwanza Kulia ni Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Dk. Binilith Mahenge, katikati ni K.G Bwire mfanyakazi wa Wizara ya Maji.
IMG_0570
Kutoka kushoto; Naibu Waziri wa Maji, Mwenyekiti wa Mamlaka ya Wanging’ombe, Katibu Mkuu Wizara ya maji na
Mbwire wakielekea kwenye gari, tayari kwa ajili ya kukabidhiwa Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Wanging’ombe.
Copy of IMG_0555
Katibu Mkuu Wizara ya maji, Mhandisi Christopher Sayi akiteta jambo na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Majisafi na
Usafi wa Maingira Philimon Luhanjo kabla ya kuingia ofisini kwa Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Dk. Binilith Mahenge.
IMG_0589Mwenyekiti wa Mamlka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Wanging’ombe, Philimon Luhanjo akimshukuru Naibu Waziri
wa Maji Mhandisi Dk. Binilith Mahenge kwa kumkabidhi gari. Wakwanza kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Chritopher sayi.
Copy of IMG_0551Mwenyekiti wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Wanging’ombe Philimon Luhanjo akikagua gari
alilokabidhiwa. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Christopher Sayi. Nyuma ya Luhanjo ni Meneja wa Mamlaka ya Wanging’ombe, Mhandisi Najib Wasumbwile.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top