1f017004242a47d5ac568b6a1484c902
Adubo Mustafa Omer Enzi ya uhai wake.
Picha hapo juu ndiye marehemu Adudo Omer ambaye maiti yake ipo mortuary Dallas Texas nchini Marekani tangia Aug 26, 2013 bado wanatafutwa ndugu, jamaa au watu wanaomfahamu marehemu popote pale walipo. Marehemu alizaliwa April 25, 1956.
Marehemu alishawahi kuishi kwenye miji ifuatayo hapa Marekani  Lincoln na Omaha miji iliyopo Nebraska. pia alishawahiishi Des Moines naCedar Rapids miji iliyopo Iowa.
Tafadhali tunaomba ndugu au mtu yeyote anayemfahamu  marehemu wajitokeze
Tafadhali wasiliana na 
Ben Kazora@ 269 873 0937
Viola Mbise @ 405 613 3445
Frank Maji@ 214 674 6666