Afisa
Habari Mkuu wa Serikali, Said Amira,ambaye ni mwezeshaji katika semina
ya waandishi wa habari akifafanua jambo kuhusu namna bora ya kuandika
na kutafsiri taarifa zinazotokana na Chapisho la pili la Mgawanyo wa
Idadi ya Watu kwa Umri na Jinsi kwa waandishi kwenye semina
iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Peacock jijini Dares Salaam
Afisa
Habari Mkuu wa Serikali, Said Amira,ambaye ni mwezeshaji katika semina
ya waandishi wa habari kuhusu namna bora ya kuandika na kutafsiri
taarifa zinazotokana na Chapisho la pili la Mgawanyo wa Idadi ya Watu
kwa Umri na Jinsiakionesha gazeti lilivyoripoti takwimu za sensa kwa waandishi wa habari kwenye iliyofanyika leo hoteli ya Peacock jijini Dares Salaam.
Afisa
Habari Mkuu wa Serikali, Said Amir,ambaye ni mwezeshaji katika semina
ya waandishi wa habari akifafanua jambo kuhusu namna bora ya kuandika
na kutafsiri taarifa zinazotokana na Chapisho la pili la Mgawanyo wa
Idadi ya Watu kwa Umri na Jinsi kwa waandishi wa habari kwenye semina
iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Peacock jijini Dares Salaam.
Mratibu
wa Sensa wa Zanzibar Mayasa Mahfoud akifafanua jambo leo katika semina
ya waandishi wa habarikuhusu namna bora ya kuandika na kutafsiri
taarifa zinazotokana na Chapisho la pili la Mgawanyo wa Idadi ya Watu
kwa Umri na Jinsi kwa waandishi kwenye semina iliyofanyika leo kwenye
hoteli ya Peacock jijini Dares Salaam.
Mratibu
wa Sensa wa Zanzibar Mayasa Mahfoud akifafanua jambo leo katika
semina ya waandishi wa habari kuhusu namna bora ya kuandika na
kutafsiri taarifa zinazotokana na Chapisho la pili la Mgawanyo wa Idadi
ya Watu kwa Umri na Jinsi kwa waandishi kwenye semina iliyofanyika leo
kwenye hoteli ya Peacock jijini Dares Salaam. Mtaalamu
wa Teknolijia ya Habari(TEHAMA) Bakar Rombo Omar akielezea jinsi
kutumia mtandao kwa ajili kupata takwimu sahihi kwa waandishi wa
habari leo katika semina ya waandishi wa habari.kuhusu namna bora ya
kuandika na kutafsiri taarifa zinazotokana na Chapisho la pili la
Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa Umri na Jinsi kwa waandishi kwenye semina
iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Peacock jijini Dares Salaam.
PICHA ZOTE NA MAGRETH KINABO – MAELEZO
PICHA ZOTE NA MAGRETH KINABO – MAELEZO
Post a Comment