Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Tanzania yasaini Mkataba wa kupambana na Malaria wenye Thamani ya sh. Bilioni 10.3

 


Picha no 1 Picha no 2
Katibu Mkuu  Wizara ya Fedha Dk. Servacius Likwelile akibadilishana mkataba na Balozi wa Uswisi nchini Oliver Chave baada ya kutiliana saini mkataba wenye thamani ya shilingi bilioni 10.3 kwa ajili ya kusaidia Mradi wa Kupambana na Malaria Kitaifa(National Malaria Control Program) leo jijini Dar es Salaam. Picha no 3
Katibu Mkuu  Wizara ya Fedha Dk. Servacius Likwelile akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam baada ya Serikali ya Tanzania kutiliana saini mkataba wenye thamani ya shillingi  bilioni 10.3 kwa ajili ya kusaidia Mradi wa Kupambana na Malaria Kitaifa(National Malaria Control Program) na Serikali ya Uswisi,kulia ni Balozi wa Uswisi nchini Oliver Chave. Picha no 4
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk.Donald Mmbando akiongea na waandishi wa habari baada ya Wizara hiyo kupokea msaada wenye thamani ya  shilingi bilioni 10.3  kwa ajili ya kusaidia Mradi wa Kupambana na Malaria Kitaifa(National Malaria Control Program) kutoka Serilikali ya Uswisi,kulia ni  Katibu Mkuu  Wizara ya Fedha Dk. Servacius Likwelile.(Picha zote na Lorietha Laurence-Maelezo)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top